VIUNGO watatu wa Yanga, Khalid Aucho, Mudathir Yahya pamoja na Stephane Aziz Ki, wametengeneza pacha moja matata sana ambayo imekuwa ikiwapatia ushindi Wanajangwani hao katika michezo mbalimbali. Hiyo inadhihirishwa na ushindi wa mabao 5-0 walioupata Wanajangwani hao mbele ya KMC...
LICHA ya kutopata nafasi ndani ya kikosi cha kwanza cha Kocha wa Simba Roberto Oliviera ‘Robertinho’, beki wa timu hiyo Hussein Kazi ameweka wazi hapa presha na aimani iko siku atapata namba na watu wataanza kuliimba jina lake. Kazi amesajiliwa...
Tunakuletea mchezo mwingine ambao unakamilisha kikundi cha michezo ya kasino isiyokuwa ya kawaida. Je, ulikosa scratchers? Ikiwa ndivyo, sasa utakutana na moja ya michezo kama hiyo ambayo utaweza kukupa mara 10,000 zaidi ya dau lako la kubetia.  Krampus ni mchezo...
Nyota wa Simba, Luis Miquissone na Moses Phiri huenda wakaanza kuonekana mara kwa mara kikosini kutokana na kiwango walichokionyesha katika mchezo wa juzi dhidi Dodoma Jiji. Simba ilipata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu kwa kuifunga Dodoma Jiji mabao...
NYOTA wa Kitanzania, Alphonce Mabula ambaye anacheza soka la kulipwa Serbia akiwa na FK Spartak Subotica ya ligi kuu ‘Serbian SuperLiga’ ametajwa kuwa anaweza kufika mbali. Anachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuendelea kupambana huku akisubiri milango ya mafanikio yake kufunguka...
KUNA hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika watatu wanaumiza vichwa vya vigogo wa timu hiyo huku jina la Simon Msuva likirejea mezani. Yanga...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Mosses Phiri, ametangaza hali ya hatari kwa mabeki wa timu za Ligi Kuu Bara zikiwemo Yanga na Azam kwa kuwaambia amejipanga kufunga mabao katika kila mchezo atakaopewa nafasi ya kucheza msimu huu ili kurudisha ubora...
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho, kuweka wazi siri ya wachezaji wake wapya wa kimataifa ambao wameanza kuonesha makeke katika Michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24. Juzi Jumapili (Agosti 20), Simba SC iliibuka na ushindi wa 2-0...