TIMU ya Taifa Stars kesho itakuwa kibaruani katika mchezo wa marudiano wa kufuzu Fainali za ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya Sudan utakaopigwa uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini. Ikumbukwe Taifa Stars wanasuka dimbani wakiwa na kumbukumbu za kufungwa...
Arsenal, City, Yanga, Dortmund wote wapo dimbani kuhakikisha unaondoka na mapene ya maana. Weka dau lako na ubashiri na wakali wa odds kubwa Tanzania Meridianbet. Kule BUNDESLIGA viwanja mbalimbali kutimua vumbi, Bayern Munich wataumana dhidi ya Union Berlin ambao walitoa...
BAO pekee la Steve Mukwala dakika ya 90+7 limetosha kuipandisha  Simba katika nafasi ya pili ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  kwa shindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa uwanja wa Lake Tanganyika,  Kigoma . Mukwala alitisa nyavu za...
Kitita cha kutosha kipo kwajili yako leo na unaweza kuondoka nacho kupitia mchezo wa 40 Lucky Sevens, Mchezo huu umekua mchezo unaowapa watu mkwanja kwelikweli kwasasa cheza leo upate unyakue kitita chako. 40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka...
Bayer Leverkusen, Lille, Mallorca wote wapo dimbani kuhakikisha unapata ushindi wako. Tengeneza jamvi lako hapa na machaguo uyapendayo uibuke mshindi sasa. Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 itaendelea mapema kabisa saa 3 usiku AS Monaco baada ya kupoteza mechi yake...
Klabu ya Manchester United imemteua Ruben Amorim kuwa kocha wao mpya akichukua nafasi ya Erik ten Hag ambaye amefurushwa klabuni hapo hivi karibuni. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atatua Old Trafford kutoka klabu ya Sporting ya Lisbon...
KOCHA mkongwe nchini, Juma Mgunda, ameanza na mguu mzuri kwenye kikosi cha Namungo kwa kupata ushindi wa kwanza tangu alipochukua mikoba ya kuifundisha timu hiyo huku akiiongezea Pamba Jiji FC rekodi yao mbaya ya kutoshinda kufikia mechi 10 hadi...
WAKATI kikosi chake kesho usiku kitashuka kucheza mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Chamazi Complex ,Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameanza kupiga hesabu za kuongeza nguvu katika kikosi chake kwa kuhitaji...
HUKU ikijiandaa kuwakabili mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uongozi wa Azam FC umetangaza rasmi umempa mkataba mpya wa mwaka mmoja mshambuliaji wake, Abdul Suleiman 'Sopu'. Taarifa iliyotolewa na Azam jana inasema sasa mshambuliaji huyo ataendelea kuitumikia klabu hiyo...
BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Black Stars na kupanda kileleni, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema kikosi chake hakitakiwi kufananishwa na timu nyingine zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sababu hazifanani viwango. Matokeo ya...