KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amekiri ubora wa safu ya ushambuliaji wa Yanga na kuwa makini kutowapa nafasi ya kufanya mashambulizi.
Safu ya ushambuliaji ya Yanga inayoongozwa na Prince Dube, Jean Baleke, Kennedy Musonda, Clement Mzize, Pacome Zouzoua,...
Mabingwa wa ODDS KUBWA Meridianbet wanakukaribisha leo hii uweze kusuka mkeka wako na ubeti hapa ambapo mechi kibao zinapigwa leo hii. Nafasi ya kuwa Milionea ndio hii sasa usisubirie kuhadithiwa.
Ligi kuu ya NBC Tanzania kuna mechi moja ya KMC...
Leo unaweza kushinda mkwanja wa kutosha kwa kupiga tu Penalty kupitia mchezo wa kasino wa Beach Penalties, Mchezo huu umekua mahiri kutokana na urahisi wake wa kucheza na kumwaga mamilioni kwa wachezaji.
Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio...
MCHEZO wa Dar es Salaam Derby kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, utakaopigwa Jumamosi, Novemba 2, uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi badala ya Benjamini Mkapa, jijini.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Almas Kasongo amesema wengi...
Utaratibu wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yao umeendelea kwa kampuni ya Meridianbet ambapo leo wamefika eneo la Kijitonyama Ali Maua na kutoa msaada.
Mabingwa wa michezo ya kubashiri leo walifika Kijitonyama na kutoa msaada wa mahitaji ya nyumbani kwa familia...
TAARIFA kutoka ndani ya Yanga zinasema bado wanaendelea kupambania namna ya kuongeza mikataba ya nyota wake wawili, Pacome Zouzoua na beki Kouassi Yao.
Kwa Yao mambo yanaelezwa ni mepesi na huenda akawa wa kwanza kusaini mkataba, huku Pacome akiendelea kusikilizia...
WINGA wa Simba, Joshua Mutale hana noma na mtu, kila mchezaji ndani ya kikosi hicho ni mshikaji wake, hapendi kununa, badala yake kila anapokuwepo lazima aache kicheko kwa wengine.
Alipoulizwa Mutale mara nyingi kwa nini anaonekana akiwachekesha wachezaji wenzake je,...
Meneja wa Havari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amefichua mipango ya klabu hiyo ambapo ameeleza kuwa Januari kutakuwa na ongezeko la mchezaji mwingine wa kigeni ndani ya kikosi hicho ambacho mpaka sasa tayari ni moto wa...
Kama mdau wa michezo natumaini utavutiwa makala haya yanayohusu Sheria mbalimbali na Kanuni za Mpira wa Miguu.
1. UWANJA.
Kwa kawaida uwanja wa mpira wa miguu huwa na Urefu wa mita 100 – 120 na Upana wa mita 50 – 90...
VIGOGO wa soka nchini, Simba na Yanga wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora ya Mwaka Afrika baada ya kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita.
Watani hao wa hadi wanachuana na Al Ahly na...