Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema malengo yake ni kutafuta alama 10 katika michezo ya hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika. Fadlu amesema kuwa mechi za hatua ya makundi zitakuwa ngumu lakini wanajiandaa kutafuta pointi kila mechi...
Mastaa wa Simba walivuja jasho Uwanja wa Mkapa kwenye Kariakoo Dabi iliyopigwa tarehe 19/10 mwaka huu, msako wa pointi tatu muhimu mwisho walishuhudia ubao ukisoma Simba 0-1 Yanga. Hizi hapa baadhi ya rekodi za mastaa wa Simba namna hii:- Mussa...
Kaimu Kocha Mkuu wa AS Vita ya DR Congo, Raoul Shugu amesema Simba wamepata mtu kumsajili aliyekuwa mchezaji wa timu yake, Elie Mpanzu ambaye amejiunga na kikosi cha wekundu hao wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili. Kocha huyo amesema...
Kiungo wa Yanga, Clatous Chama ni yuleyule wa maamuzi magumu kwenye mechi ambazo anapewa nafasi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Oktoba 22 2024 alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi kwa pigo la faulo akiwa...
Ethiopia imetangaza nia ya kuwasilisha maombi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2029. Rais wa Ethiopia Taye Atske Selassie ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu wa 46 wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), unaoendelea...
KIPA wa Yanga, Raia wa Mali, Djigui Diarra amesema ubora wa ligi ya Tanzania imempa nafasi ya kuitwa na kuaminika katika kikosi cha timu ya Taifa ya nchini humo. Amesema Ligi ya Tanzania ni kubwa na bora sana, nzuri anafahamu...
BEKI wa Simba, Che Maleno Fondoh amesema wanaweza kupata idadi kubwa ya mabao kwenye michezo ijayo wakiendelea kucheza kwa kasi waliyocheza mechi na Namungo FC. Amesema ushindi ulioupata dhidi ya Namungo FC umeongeza morali na kuwapa hamasa ya kupambana zaidi...
Unaweza kuifunga wikiendi yako kwa namna ya tofauti kwa kucheza mchezo wa Kasino wa Rich Panda ambao umekua moja ya michezo pendwa ya Kasino ambayo inamwaga mikwanja kwa washindi, Cheza Rich Panda Jumapili ya leo uibuke na mamilioni na...
Watu wengi sana wanajiuliza maswali ya kuwa ni wpai wanaweza kutimiza ndoto zao kirahisi. Mimi ninawaambia sehemu ni moja tuu napo ni Meridianbet kwa da lako dogo tuu unatusua mamilioni. Kule Italia pia SERIE A itaendelea kwa michezo kadhaa Lazio...
Kushinda mkwanja inaendelea kurahisishwa kila siku kwani sasa umeletwa mchezo mwepesi ambao utakutaka wewe ujue tu kupiga penalty ili ushinde kitita ni kupitia mchezo wa kasino wa Beach Penalties. Umahiri wako wa kupiga mikwaju ya Penalty ndio inaweza kukufanya ukaondoka...