Wababe wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanasema kuwa ukitaka kutimiza ndoto zako leo hii wewe ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi kwani leo hii kuna mitanange ya kukata na shoka.
Tengeneza pesa nyingi leo na mechi za...
Baada ya timu za Yanga na Simba kufanikiwa kufuzu makundi ya CAF kama nchi (Tanzania) tumeongeza pointi 7.5 (Yanga pointi 5, Simba Pointi 2.5) na kufikisha pointi 60 nafasi ya sita kwenye Association Ranking na tumezidiwa na mataifa matano...
Chimbo ni moja tu 40 Lucky Sevens ndio sehemu pekee ambayo inaweza kukupa mkwanja wa kutosha, Kwani ni mchezo ambao unazalisha washindi wapya kila siku cheza leo ushinde.
40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni kutoka...
Leo ndio siku ya wewe kubahatisha bahati yako na Meridianbet ukibashiri mechi zako zote hapa kuanzia Tanzania mpaka kule Ulaya. Odds kubwa zipo kwenye mechi za leo.
Meridianbet wanakwambia pesa ipo kwenye mechi ya Udinese Calcio dhidi ya Cagliari Calcio...
KİPA Aishi Salum Manula ndiye mkongwe pekee aliyeitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars cha wachezaji wanaocheza nyumbani pekee kwa ajili ya mechi ya kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) dhidi ya...
KOCHA Msaidizi wa Simba, Darian Wilken amesema mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Tanzania dhidi ya Namungo utakuwa mgumu lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi kwenye uwanja wa nyumbani.
Kocha Wilken amesema Namungo ni timu nzuri hasa ikichangiwa na kuwa na...
Leo michuano ya Uefa Europa league itaendelea kutimua vumbi na michezo mbalimbali itakwenda kupigwa kwenye viwanja tofauti tofauti, Huku wewe mteja wa Meridianbet ukiwa na fursa ya kunyakua mkwanja kupitia michezo hiyo.
Michezo ya Europa league imekua ikiwapa watu wengi...
Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kuigusa jamii yake tena kwa mara nyingine baada ya leo kufika eneo la Mbezi juu na kutoa msaada wa vifaa vya usafi katika hospitali ya Ndumbwi inayopatikana katika eneo hilo.
Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Jean Baleke ameweka wazi kuwa bado kazi ipo kwenye ligi na atacheza mechi nyingi kwa kuwa ligi inaanza na benchi la ufundi lina hesabu zake.
Ipo wazi kwamba Balake ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliwahi kucheza...
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kama kila mchezaji atajitoa kwa asilimia 80 ana uhakika wa ubingwa msimu huu.
Akizungumza na kunukiliwa na gazeti la SpotiLEO, kocha huyo raia wa Morocco amesema pamoja na ugumu uliopo kwenye ligi...