Kufuatia droo ya hatua ya makundi iliyochezeshwa juzi Jumatatu mjini Cairo, Misri, Klabu ya Wekundu wa Msimbazi imepangwa katika kundi A dhidi ya wapinzani wake ambao ni CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria, na FC Bravos do...
Takwimu za kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Clatous Chama katika mechi nne za kwanza za msimu wa NBC Premier League 2024|25, ukilinganisha na mechi nne za kwanza kwenye misimu yake mitatu iliyopita.
Mechi nne za kwanza (2020|21)
◉ 4 - Games
◉...
Klabu ya Yanga imesema kutokana na ubora wa kikosi ilichonacho pamoja na uzoefu, itavuka hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kwenda robo fainali kwenye Kundi A lililopangwa.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Andre Mtine, amesema si...
Ile siku ya kuyqbadilisha maisha yako kabisa ndio leo ambapo mchezo wa Kasino wa Apocalypse ndio mkombozi pekee, Kwani kupitia mchezo huu ndio unaweza kukufanya ukashinda mamilioni na ukabidili maisha yako leo.
Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni
Zombie Apocalypse una...
Je unajua kuwa unaweza kutimiza ndoto zako kirahisi sana endapo utabashiri na Meridianbet mechi zote zinazopigwa leo za Mataifa?. Basi suka jamvi lako na ujiweke kujiweke kwenye nafasi ya kutajirika sasa.
Anza kusuka jamvi lako na mechi ya Switzerland ambaye...
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamekujia na mchezo mpya wa Sloti ya kasino mitandaoni unafahamika kama Rich Panda. Mchezo huu unakupa fursa ya kupiga mkwanja wa kutosha.
Ukicheza mchezo wa Rich Panda kutoka Meridianbet unapata fursa ya...
Matunda ni lishe muhimu katika mwili wa binadamu lakini kwa upande wa kasino ni kiungo kinachotumika kutoa ushindi kwa wachezaji wa ,michezo ya kasino ya mtandaoni, kutokana na urahisi wake wa kucheza 5 Hot Strike umekuwa ni mchezo wa...
Simba ina habari njema juu ya beki wake wa kati, Abdulrazack Hamza ambaye alipata majeraha muda mfupi baada ya kujiunga na kambi ya timu ya taifa Taifa Stars' hivi karibuni kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili dhidi ya...
Kwa takribani misimu mitano ya nyuma klabu ya Yanga imekuwa tishio dhidi ya Simba haswa pale miamva hii inapokutana uwanjani.
Kwenye michezo 10 waliyocheza ndani ya misimu 5, Yanga wameshinda michezo 4, Simba ameshinda mara 1 na wametoa sare 5.
Takwimu...
KARIAKOO DABI Imeanza kunoga, zikiwa zimesalia siku chache tu kupigwa kwa mchezo unaovuta hisia kali za mashabiki wa soka nchi na Afrika na duniani kwa ujumla, Simba na Yanga.
Joto kali limehamia kwa makocha wa timu hizo mbili, Fadlu Davids...