Kocha wa Simba SC, ameeleza masikitiko yake baada ya timu yake kupoteza nafasi nyingi katika mechi dhidi ya Dodoma Jiji.
Akizungumza baada ya mchezo huo, kocha alisema kuwa wachezaji wake walionesha uchovu mkubwa kutokana na ratiba ngumu waliyokuwa nayo, hasa...
Sifa ya kwanza ya kumwita mchezaji timu ya Taifa ni kiwango bora ambacho anakuwa amekionyesha. Fomu ya Abdulrazack Hamza anastahili kuitwa timu ya Taifa.!
Kwa ujumla kiufundi, ikitokea mtu ni mgeni kabisa ndio anaingalia Simba kwa mara ya kwanza halafu...
Nyota wa Simba kiungo Edwin Balua aliyewazima wapinzani wao kwenye anga la kimataifa jioni amefichua alichoambiwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kabla ya kuingia kwenye mchezo huo.
Septemba 22 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma...
Msimu wa 2023/24, aliwaacha mbali Djigui Diarra ‘Yanga’ na Mohamed Mustapha ‘Azam FC’ akitwaa tuzo ya kipa bora si mwingine ni Ley Matampi ambaye amesisitiza kuwa na msimu huu pia anaitaka.
Kipa huyo tayari ameruhusu nyavu zake kutikiswa kwenye kila...
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele mwenye kumbukumbu nyingi nzuri katika ardhi ya Tanzania, ameshindwa kujizuia kwa kueleza miongoni mwa vitu ambavyo anavimisi kutoka kwa Stephane Aziz KI.
Mfungaji bora huyo wa Ligi Kuu Bara 2022/23 alikuwa sehemu ya...
KIUNGO wa Simba, Awesu Awesu amefunguka siri ya ushindi wa timu yake dhidi ya Dodoma Jiji kuwa ni kufanyia kazi maagizo aliyopewa na kocha wa timu hiyo Fadlu Davids.
Ipo hivi; Awesu aliingia kipindi cha pili dhidi ya Dodoma Jiji...
BEKI wa kulia wa KMC, Abdallah Said ‘T Lanso' ameeleza ugumu wa kumkaba mlinzi wa Yanga, Chadrack Boka kwamba inahitaji kutumia akili na umakini wa hali ya juu. KMC jana ilikuwa ugenini katika Uwanja wa Azam Complex.
Huo ni mwendelezo...
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba Ahmed Ally ameshangazwa na kauli ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, kuhusu mafanikio ya Simba kwa msimu huu.
Jana Simba na Yanga zilicheza michezo yao ya Ligi na zote zilifanikiwa...
Baada ya Namungo kupata ushindi wa bao 1-0 juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo Mkongomani aliyewahi kukinoa kikosi cha Yanga, Mwinyi Zahera amesema, ameridhika na viwango vya wachezaji walivyovionyesha huku akiwataka kuendelea kupambana zaidi ya...
Kuna burudani fulani huwa inatokea Kiungo wa Boli Kapteni Kucho Awesu Awesu akiwa na mpira mguuni.
Awesu Ali Awesu huwa analainisha sana mambo, simple tu mali inamtii ,anaweka moja njiani then anaitaka tena mbungi.
Huwa kila nyakati natamani aweze kupasiwa mpira...