Wikiendi yako unaweza kuifanya ikanoga kwa kitu kimoja tu na sio kingine ni kuingia pale Meridianbet na kucheza mchezo rahisi zaidi wa Kasino unaoitwa Beach Penalties ili uweze kushinda kitita kizito.
Mchezo huu hauhitaji ufundi mkubwa kuweza kuucheza na kushinda...
Haji Manara ameoneshwa kuchukizwa na taarifa iliyokuwa inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimhusisha yeye kuzungumza na aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga na sasa ana kipiga na AZam FC, Feisal Salum Abdallah Fei Toto kwamba amemshauri akachezee Simba Sc na...
Kama jana ulishindwa kupiga maokoto ndani ya Meridianbet, basi mimi nakwambia kuwa nafasi hiyo unayo leo. Ingia Meridianbet na utengeneze jamvi lako hapa.
SERIE A leo kupigwa kama kawaida Empoli atakuwa uso kwa uso dhidi ya Fiorentina ambao walishinda mchezo...
Kichuya ni jina kubwa kwenye anga ya michezo nchini kutokana na winga Shiza Ramadhan Kichuya ambaye kwasasa anakipiga JKT Tanzania kutambulika zaidi kwa jina hilo, lakini unaambiwa jina hilo ni la utani.
Ipo hivi;
Wengi wanafahamu kuwa Kichuya ni jina...
KOCHA aliyewahi kuifundisha Yanga msimu 2020, Luc Eymael ametambulishwa kwenye kikosi cha FC Lupopo ya DRC Congo anakochezea mtanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja.
Lupopo hivi karibuni waliondolewa katika raundi ya pili ya awali ya michuano ya Kombe la Shirikisho CAF dhidi...
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids FCya nchini Misri na timu ya Taifa ya Congo DR, Fiston Kalala Mayele siku ya leo ametembelea uwanja wa Real Madrid Santiago Bernabéu nchini Hispania.
Mayele ambaye amewahi kuitumikia Yanga kwa misimu miwili, atarajia kuhudhuria...
Kikosi cha Mnyama, Simba SC, kipo Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara.
Katika mechi hii, Simba SC itakabiliana na Dodoma Jiji FC, ambao watakuwa wakicheza mchezo wao wa sita siku ya leo,...
Kikosi cha Mnyama, Simba SC, kiliwasilia Jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara.
Katika mechi hii, Simba SC itakabiliana na Dodoma Jiji FC, ambao watakuwa wakicheza mchezo wao wa sita siku ya leo,...
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji wataukabili kwa hesabu kubwa ya kupata pointi tatu kutokana na muda kuwa mchache kwenye maandalizi.
Ni ushindi dhidi ya Azam FC ilipata kwenye...
Kocha mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amemaliza utata kwa kutoa sababu zinazomfanya mshambuliaji mpya, Jean Baleke aliyeibua maswali kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kwa kutoonekana uwanjani.
Gamondi alisema hatua zinafanyika kwa sasa za kumboresha ambazo zimeanza muda mrefu,...