Kiungo wa Yanga, Aziz Andabwile amesema wanafahamu kilichowahi kuwakuta mkoani Mbeya, Yanga alipopoteza mechi zake dhidi ya Ihefu kwa misimu miwili mfululizo, hivyo watakuwa makini na tahadhari kubwa kufikia malengo.
Kwenye michezo miwili ya ugenini mkoani Mbeya, Yanga ilichapwa mabao...
SIMBA Queens inasaka kocha mpya baada ya kuachana na Juma Mgunda na sasa iko mbioni kukamilisha dili la Kocha wa CBE ya Ethiopia, Birhanu Gizaw.
Septemba 8, mwaka huu, Simba Queens ilitangaza kuachana na Mgunda ambaye alidumu katika kikosi hicho...
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama amehusika kwenye mabao manane kati ya 17 yaliyofungwa na Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, akimfunika Stephane Aziz Ki ambaye amehusika kwenye mabao matano akifunga manne na asisti moja.
Yanga...
Siku yako itakuwa nzuri sana endapo utabashiri mechi zako na Meridianbet, leo Chelsea, Real Madrid, Al Hilal wapo dimbani kukupatia mkwanja wa maana. Beti sasa.
Ligi kuu ya Italia SERIE A kuna mtanange mmoja leo Atalanta ataumana dhidi ya Como...
Unataka kuondoka na maokoto leo? Mchongo ni mmoja tu ni kucheza mchezo mpya wa kibabe wa Kasino wa Beach Penalties unapatikana pale Meridianbet Cheza sasa ujishindie kitita.
Kwa kila pigo moja lina odds zake za ushindi ambazo zitajumlishwa na dau...
Bila shaka umewahi kuwaona wachezaji wengi wa Ulaya na hata wa hapa Tanzania kama Simba, Yanga, Azam na vilabu vingine vikubwa wakiwa wamevalia vest nyeusi vifuani mwao? umekuwa ukijiuliza hizo vest zinasaidia nini kwa mchezaji au umewahi kujiuliza vinafanya...
Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCĆ).
Rais huyo wa Shirikisho la Soka Cameroon (FECAFOOT), amesema...
Wakati mashabiki wa Yanga wakitambia kikosi chao kushinda kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya Ken Gold, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi amesema anachotaka ni pointi tatu, lakini wapinzani wao wakijichanganya watawapiga nyingi.
Yanga imekuwa na matokeo mazuri...
Straika wa zamani wa Simba, Freddy Michael ambaye alikuwapo uwanjani akiishuhudia timu yake ya zamani ikimkanda Mwarabu mabao 3-1 na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Kimataifa kwa jumla ya mara 6.
Freddy alisema licha ya ushindi, lakini amekoshwa...
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amewaambia wanachama na mashabiki wa timu hiyo ambao wanaonekana kuanza kukisifia kikosi chao baada ya kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kuwa bado hakijafika pale ambapo yeye anahitaji, akiwaahidi kuwa...