Uncategorized

EXCLUSIVE: STRAIKA RWANDA ASAINI YANGA MIAKA MIWILI

admin May 29, 2019 9:09 pm


Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda, Issa Bigirimana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Yanga akitokea klabu ya APR ya Rwanda.

Usajili huo umefanyika kutokana na pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera ambaye amepewa majukumu yote hivi sasa ya kuchagua wachezaji.

Huyu anakuwa mchezaji wa pili wa Yanga baada ya kumalizana na Tshishimbi aliyeongeza pia miaka miwili.

Usajili umeendelea kushika kasi hivi sasa ikiwa ni baada ya ligi kumalizika juzi.

KAULI YA KWANZA NZITO YA JACQUELINE KWA MAREHEMU DKT. MENGI EXCLUSIVE: ZANA, WAWA WAFUNGUKA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply