Home Uncategorized KIKOSI ALICHOKICHAGUA ALLY KIBA HIKI HAPA

KIKOSI ALICHOKICHAGUA ALLY KIBA HIKI HAPA


LEO Jumapili uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa hisani kwa timu ya Ally Kiba na Mbwana Samatta inayokwenda kwa jina la Nifuate ambao ni wa hisani lengo ni kurejesha wanachokipata kwa wenye mahitaji.

Hiki hapa ni kikosi cha Ali Kiba:-

Ally Kiba
Feisal Salum
Said Ndemla
Ibrahim Ajibu
Shiza Kichuya
Emmanuel Okwi
Haruna Niyonzima
Abdul Kiba
Saimon Msuva
James Msuva
Mohamed Binsulm
Tunda Man
Abdi Banda
Aishi Manula
Aggrey Morris
Meddie Kagere 
Stanley Mkomola

SOMA NA HII  SIMBA YATINGA BUNGENI LEO, SPIKA AZINDUA KADI ZA MASHABIKI