Uncategorized

STARS KUMENOGA, DOZI MARA MBILI KWA SIKU

admin June 3, 2019 5:36 pm

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.

Stars kwa sasa imeweka kambi ya ndani kwa muda wa wiki moja ambapo baada ya kumaliza program ya mwalimu watakwea pipa kuelekea nchini Misri kuweka kambi mpaka siku ya mashindano.

Kwa sasa Stars wanafanya mazoezi uwanja wa Taifa asubuhi na jioni chini ya kocha mkuu, Emanuel Ammunike.

PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA TFF, SIMBA WAJICHANGANYA KUHUSU SHOMARI KAPOMBE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply