Uncategorized

BOSS SIMBA AZIDI KUKIMBIZA KATIKA ORODHA YA WATU TAJIRI AFRIKA, APANDA JUU

admin June 5, 2019 9:40 pm

Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla ‘FORBES’ limekuja tena na orodha ya matajiri.

Katika orodha ya watu tajiri Afrika, Mtanzania ambaye amewekeza hisa zake katika klabu ya Simba na Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ amezidi kupanda juu kutoka namba 16 mpaka 14.

Unaweza kuitazama listi kamili kwa kubofya hapa chini

SIMBA IJAYO NI BAB-KUBWA ZAIDI, MBADALA WA OKWI AFUATWA NA WAKALA WA KAGERE VIDEO: STRAIKA MPYA ATUA USIKU YANGA, ASAINI NA KUSEPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply