Home Uncategorized VIDEO: STRAIKA MPYA ATUA USIKU YANGA, ASAINI NA KUSEPA

VIDEO: STRAIKA MPYA ATUA USIKU YANGA, ASAINI NA KUSEPA


Yanga imeshusha rasmi straika Mnamibia Sadney Urikhob anayekipiga klabu ya Tura Magic na timu ya Taifa ya Benin.

Huyo anakuwa mchezaji wa saba kusaini Yanga kama mazungumzo yatakwenda vizuri wengine ni Patrick Sibomana, Lamine Moro, Issa Bigirimana, Maybin Kalengo, Farouk Shikalo, Erick Rutanga na Urikhob mwenyewe.

SOMA NA HII  KOCHA YANGA AWAAMSHIA MASTAA, KISA HIKI HAPA