Home Uncategorized RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI

RAIS CAF AKAMATWA NA POLISI AKIWA HOTELINI


Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.

Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.

Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa Rais huyo anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na Rushwa.

SOMA NA HII  TPL: YANGA 0-0 AZAM FC