Uncategorized

AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA KIMATAIFA

admin July 30, 2019 4:33 pm

KIKOSI cha Azam FC kimeendelea na maandalizi ya kukata na shoka kwa ajili ya michuano ya kimataifa pamoja na Ligi Kuu Bara.

Azam FC ambao ni mabigwa wa Kombe la Shirikisho watapeperusha Bendera ya Taifa kwa kushirki michuano ya Kombe la Shirikisho.

Mchezo wao wa kwanza kimataifa unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 10 nchini Ethiopia dhidi ya wapinzani wao Fasil Kenema.

Ofisa Habari wa Azam FC,Jaffary Maganga amesema kuwa maandalizi yapo sawa na wana imani ya kuleta ushindani.

“Kikosi kipo tayari kwa ajili ya michuano ya kimataifa, wachezaji wote wana morali ya kutosha na ni imani yetu kufanya vizuri, mashabiki watupe sapoti,” amesema.

ABDI BANDA AACHANA NA BAROKA FC FRIENDS RANGERS YAKUBALI MUZIKI WA YANGA, SIBOMANA APEWA SALUTI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply