Uncategorized

ABDI BANDA AACHANA NA BAROKA FC

admin July 30, 2019 4:23 pm


ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga soka la kulipwa Baroka FC ya Afrika Kusini amewaaga mashabiki wake na timu.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Banda ameandika namna hii:-“Nina kila sababu za kuwashukuru wachezaji wenzangu, viongozi na mashabiki kwa sapoti yote kubwa ndani ya Baroka FC.

“Muda ukifika nitataja wapi nitakuwa msimu ujao kwani nilikuwa nina miaka miwili mizuri ndani ya timu, asanten kwa sapoti,” amesema.

ZAHERA BALAA AFUNGA USAJILI NA KIFAA HIKI, HATMA YA OKWI NDANI YA SIMBA NI KESHO CHAMPIONI JUMATANO AZAM FC KAMILI GADO KUWAVAA WAETHIOPIA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply