Baada ya jana Simba Sc kutangaza kumuongezea mkataba John Bocco, leo hii itatangaza mchezaji mwingine tena waliomsajili.
Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.
” Watu wakae kwenye mitandao ya kijamii yote ya Simba, Twitter, Instagram kuna mwingine atatangazwa leo”- alidai Magori
The post Baada ya Bocco, Simba kutangaza mwingine leo! appeared first on Kandanda.