Uncategorized

BEKI KISIKI YANGA AOMBA KWENDA ULAYA

admin June 13, 2019 10:31 am

BEKI wa timu ya Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amesema kuwa kwa sasa mipango yake ni kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi ili kujaribu changamoto mpya.

Ninja kwa sasa mkataba wake unakaribia kuisha ndani ya Yanga, ambapo Juni 15 siku ya kubwa kuliko mkataba wake unaelezwa kufika tamati.

“Mpira ni kazi yangu na ninajituma ili kuwa bora siku zote, kwa sasa naona ni wakati wangu wa kupata changamoto nyingine nje ya Tanzania,” amesema Ninja.

KAMA WAMEKWATA KWA MAAMUZI YA KOCHA INAPENDEZA, TUINGE MKONO TIMU YETU YA TAIFA KUPOTEZA MVUTO KWA KAGAME KUNA JAMBO LA KUJIFUNZA, BADO WACHEZAJI WANA DENI KWA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply