Home Uncategorized Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!

Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!

178
0

Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba kwaajili ya msimu ujao.

Kipa

# Mchezaji Nafasi
1 Aishi Manula Kipa
2 Beno Kakolanya Kipa

Mlinzi

# Mchezaji Nafasi
1 Erasto E. Nyoni Mlinzi

Straika

# Mchezaji Nafasi
1 John R. Bocco Straika

Kumbuka baada ya Bodi ya Ligi kutoa majina ya mwisho tutarekebisha pia

The post Hivi Sasa ni saa Saba Kamili! appeared first on Kandanda.