Uncategorized

KMC KUMENOGA, WAWILI WAPIGWA PINI NDEFU

admin June 15, 2019 10:38 am


UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla nyota wao wawili ndani ya kikosi hicho.

KMC walianza jana kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba wake utamalizika mwaka 2022.

Leo pia mshambuliaji Charles Ilanfia ambaye mkataba wake wa awali kubakisha miezi sita tu ameongezewa kandarasi ya miaka mitatu mpaka mwaka 2022. 

Hivi Sasa ni saa Saba Kamili! ALIYETAJWA KUTUA SIMBA AMALIZANA NA YANGA KWA MIAKA MIWILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply