Uncategorized

NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20

admin June 15, 2019 7:08 am

KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.

Akizungumza na Salehe  Jembe, Thiery amesema kuwa kwa sasa wameanza kufanya mazungumzo na wachezaji wao waliopandisha kikosi.

“Kwa sasa tumeanza mazungumzo na wachezaji walioipandisha timu kwanza kabla ya kufanya maamuzi mengine, lengo ni kusuka kikosi chenye nguvu na tutaongeza wachezaji wengine wenye uzoefu,” amesema.

RIPOTI YA KOCHA RUVU SHOOTING YATUA MEZANI WAKATI IKIELEZWA ANATANGAZWA SIMBA LEO, YANGA WAJA NA MPYA JUU YA AJIBU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply