Uncategorized

WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24

admin June 17, 2019 12:08 pm


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu,  kukaa mahabusu kwa siku saba hadi Jumatatu ijayo, Juni 24, wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kumfutia dhamana baada ya kukiuka masharti aliyopewa mahakamani hapo.

Wema anakabiliwa na mashtaka ya kujipiga video ya ngono na kuisambaza katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

TAIFA STARS INAHITAJI MICHANGO, MWAKYEMBE AFUNGUKA – VIDEO MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply