Uncategorized

NYOTA MPYA WA AZAM FC APANIA MAKUBWA

admin June 18, 2019 9:36 am

NYOTA mpya wa Azam FC, Idd Suleiman ‘Nado’ amesema kuwa ana kazi kubwa ya kufanya kwa sasa kutokana na kujiunga na moja ya timu kubwa kwa bongo.

Nado jana ametangwaza rasmi kuitumikia Azam FC baada ya kupewa kandarasi ya miaka miwili akitokea Mbeya City.
.
“Ninajua kwa sasa nipo kwenye timu mpya ambayo ni miongoni mwa timu kubwa Tanzania hivyo nitapambana kufanya kweli ndani ya timu kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu,” amesema Nado.

TIFFAH AMRUSHA ROHO BABA YAKE MAKOSA YA MSIMU ULIOPITA YAIPA SOMO SINGIDA UNITED

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply