Uncategorized

EXCLUSIVE!! YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY, AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI

admin June 19, 2019 2:51 pm


Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally ‘Mwarabu’  amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili

Ally amekuwa bora ndani ya KMC hali iliyomvutia Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera na kuacha maagizo kwamba naye aongezwe kwa wachezaji wa ndani.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredirick Mwakalebela amesema kuwa mipango ya usajili inaendelea kwa sasa kwa wachezaji wa ndani kwani wale wa kigeni wamekamilisha maagizo ya mwalimu kwa asilimia 90.

MIDO WA SINGIDA KUBEBA MIL 20 YANGA MTU KABEBA MILIONI SABA ZA SPORTPESA KWA ULAINIIIIIIII…..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply