Home Uncategorized SIMBA YASAJILI BEKI WA KATI MBRAZIL, TAYARI YUKO JIJINI DAR

SIMBA YASAJILI BEKI WA KATI MBRAZIL, TAYARI YUKO JIJINI DAR

Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameamua kuhamia nchini Brazil na kumsajili beki wa kati, Gerson Fraga Vieira.
Vieira yuko nchini na imeelezwa ana uwezo wa kucheza pia kama kiungo mkabaji na Simba itakamilisha kila kitu kesho Alhamisi.
Mbrazil huyo amewahi kukipiga nchini India ambako soka linachipukia kwa kasi kubwa.
SOMA NA HII  SHIBOUB AFICHUA MBINU ZA KUWAMALIZA UD SONGO HARAKA KWA MKAPA, HANA UTANI