Uncategorized

YANGA WAIRAHISISHIA SIMBA KAZI KWA AJIBU, ARUHUSIWA KUONDOKA – VIDEO

admin June 20, 2019 2:16 pm


MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela,  leo Juni 20, 2019,  akiongea na wanahabari makao makuu ya klabu hiyo,  ametoa kauli kuhusu mchezaji Ibrahimu Ajibu, kwamba klabu hiyo inamtakia kila la heri popote anapotaka kwenda.

“Mkataba wake unamalizika mwisho wa mwezi huu, mazungumzo yamefanyika na klabu imempa nafasi ya kuamua kama anapenda kubaki nafasi ipo, lakini kama anataka kuondoka klabu inamtakia kila la kheri, ”  alisema Mwakalebela akizungumza na vyombo vya habari.

JEZI ZA STARS ZAGOMBEWA KAMA NJUNGU, WADAU WAJITOKEZA KUISAPOTI IFANYE KWELI AFCON MGUNDA WA COASTAL UNION ATAJA IDADI YA WACHEZAJI ATAKAOWASAJILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply