Home Uncategorized UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA

UGANDA YAITWANGA CONGO YA ZAHERA 2-0 AFCON, OKWI ATUPIA


Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.

Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.

Ushindi wa Uganda unaifanya ikae kileleni mwa kundi A ikiwa na timu zingine za Misri na Zimbabwe.

Msimamo unaonesha Uganda ipo kileleni, Misri iliyoachwa idadi ya mabao ikishika nafasi ya pili wakati Zimbambwe iliyofungwa bao 1-0 na Misri jana ikiwa ya tatu na namba nne ikishika Congo.

SOMA NA HII  MEDDIE KAGERE AMJIBU KIBABE BOSSI WAKE SVEN