Klabu ya Yanga Princess imekamilisha usajili wa mchezaji Asha Abdul Malamwa kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili.
Asha amejiunga na Yanga Princess akitokea katika kikosi cha Simba Queens.
Mkataba wa Asha na Yanga Princess utadumu mpaka mwaka 2021.