Habari za michezo

SURE BOY, HIMID MAO WARUDI TAIFA STARS….BOCCO, KASEJA WATUPIWA VIRAGO TIMU YA TAIFA…

admin May 21, 2022 2:25 am


Kocha Mkuu wa Kikosi cha Taifa Stars Kim Poulsen, ametangaza Kikosi cha wachezaji 28 kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mechi za kufuzu AFCON 2023.

Katika Kikosi hicho kilichotangazwa leo Kocha Kim, amewajumuisha Kiungo wa Yanga Salum Abubakar “Sure boy” na Kiungo anayeichezea Ghazl Mahalla ya nchini Misri.

Himid Mao na Sure boy kwa nyakati tofauti walishapata kuitumikia Timu ya Taifa, “Taifa Stars” lakini kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiachwa kuitwa katika Timu ya Taifa.

Tazama List nzima ya Wachezaji walioitwa;


SIMBA INAANZA NA STAA HUYU..NI MFUNGAJI BORA UGANDA….YANGA ANDAENI SUTI…MAKAMBO KARUDI KUWAJAZA UPYAA…. FT: YANGA SC 4-0 MBEYA KWANZA…HATIMAYE MAYELE KAONA MWEZI…BADO POINTI SITA TU KISHINDO KILIE JANGWANI…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply