Uncategorized

VANESSA ATHIBITISHA KUACHANA NA JUX

admin June 23, 2019 8:30 am


Mwanamuziki anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi kuachana na aliekua mpezi wake ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux.


Vanessa amethibitisha ilo baada ya kutoa nafasi kwa mashabiki zake wa instagram kumuuliza maswali hata ” wewe na juma mmeachana??” shabiki  aliuliza swali  Vanessa alijibu swali ilo aliloulizwa kwa kusema Wamebaki kuwa marafiki tu, yeye na juma jux.

Kwenye suala la mapenzi, wawili hao walikuwa wakifuatiliwa sana na mashabiki wao na pale inapotokea dosari tu, mashabiki hao hushtuka na kutokuamini, lakini baada ya muda husikia mambo ni shwari na maisha yanaendelea lakini kwa sasa imekuwa ni tofauti.

BAADA YA YANGA KUSAJILI MASHINE ZA MAANA, YONDANI AJA NA TAMKO LA KUTISHA KWA WAPINZANI ZAHERA AMWAGA SABABU LUKUKI ZA CONGO KUPOTEZA MECHI NA UGANDA – VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply