KLABU ya Singida United leo imeanza rasmi usajili wake kuelekea msimu ujao kwa kuwasajili majembe mawili.
Beki wa kushoto, Salum Marcelo ambaye alikuwa akitumikia Malindi FC na mshambuliaji, Herman Frimpong kutoka Ghana wamesaini kandarasi ya miaka mitatu.
Ofisa Habari wa Singida United Cales Katemana amesema kuwa wataanza kambi rasmi Julai Mosi mwaka huu.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.