Home Uncategorized MANCHESTER UNITED WATAJA DAU LA POGBA

MANCHESTER UNITED WATAJA DAU LA POGBA

MANCHESTER United wamekubali kwa sasa mambo yaishe kwa kiungo ,Paul Pogba ambaye ameomba kusepa ndani ya kikosi hicho.

United wamenyoosha mikono baada ya kuamua kutangaza dau la kumuuza mchezaji huyo ambaye anatajwa kujiunga na Real Madrid ama Juventus.

United imesema kuwa dau la mchezaji huyo kwa timu inayotaka huduma yake inapaswa iangushe mezani kiasi cha pauni milioni 150 kupata saini yake.

SOMA NA HII  RUVU SHOOTING: WANAOTUBEZA TUTAWAKUNG'UTA NA KUWAPAPASA