Home Uncategorized PIERRE LIQUID AICHAMBUA KIUFUNDI MECHI STARS VS SENEGAL – VIDEO Uncategorized PIERRE LIQUID AICHAMBUA KIUFUNDI MECHI STARS VS SENEGAL – VIDEO By admin - June 24, 2019 297 0 SHABIKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Pierre Liquid ambaye aliungana na wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenda Misri kuishangilia Timu ya Taifa Stars ikicheza na Senegal na kupata kipigo cha mabao 2-0.