Home Uncategorized Yanga nayo yaikimbia As Vita, yajitoa Kagame

Yanga nayo yaikimbia As Vita, yajitoa Kagame

Juzi Simba Sc ilitoa taarifa ya kujiondoa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na Kati (Kagame Cup). Leo hii imetoka barua ya Yanga kujitoa katika mashindano hayo.

Yanga imetoa sababu nyingi za wao kujitoa katika mashindano hayo ambayo yanatarijiwa kuanza mwezi wa 7 mwaka huu, sababu ambazo zimeifanya Yanga kujitoa ni zifuatazo.

-Wachezaji wengi wa Yanga kumaliza mikataba yao.
-Wachezaji ambao Yanga wamepanga kuwasili msimu huu bado hawajakamilisha taratibu za kujiunga na Yanga.
-Baadhi ya wachezaji na makocha watakuwa kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.
-Wachezaji wachache wenye mikataba wameshapewa ruhusa ya mapumzuko ya mwisho wa ligi.

The post Yanga nayo yaikimbia As Vita, yajitoa Kagame appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  ARGUERO AONGEZA URAFIKI NA NYAVU, KWA KUTUPIA TU BALAA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here