Uncategorized

NIYONZIMA WA SIMBA KUIBUKIA CONGO

admin July 1, 2019 6:35 pm


Imeelezwa kuwa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na timu ya As Vita ya Congo.

Niyonzima ametangaza kuachana na Simba baada ya mkataba wake kumalizika hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na timu atakayokubaliana nayo.

Niyonzima amesema kuwa wakati wake ukifika wa kutaja timu atakayotua msimu mpya atawaambia mashabiki.

BEKI MPYA YANGA ATUMA UJUMBE MZITO KWA WAPINZANI MARCUS RASHFORD NI POCHI NENE MANCHESTER UNITED BAADA YA KUSAINI MKATABA MPYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply