Home Uncategorized MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA

MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA


KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.

Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao ambalo walitwaa msimu uliopita uwanja wa Taifa kwa kuifunga timu ya Simba mabao 2-1.

Mbali na Azam FC timu nyingine ambayo imetia timu Rwanda ni KMC ambao nao pia watashiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.

SOMA NA HII  KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA DODOMA JIJI