Home Uncategorized MO ATOA UJUMBE MZITO

MO ATOA UJUMBE MZITO


MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.

Mo ameandika kwamba : “Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali, narudia kaa nao mbali sana.

SOMA NA HII  UNAAMBIWA HUKO JANGWANI NI MWENDO WA SUPU TU ....... HERSI ATOA CHAPATI 5000