Uncategorized

DILI LA AFRIKA KUSINI LAWA GUMU KWA DIDA WA SIMBA

admin July 5, 2019 10:02 pm


DEOGRATIUS Munish ambaye ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja amesema kuwa kwa sasa bado hajajua ni timu gani ataichezea kutokana na mipango kutokamilika.

Dida ambaye alisajiliwa na Simba akitokea timu ya Amatuks ya Afrika Kusini alikuwa na mpango wa kurejea huko ila kwa sasa amesema mambo hayajakaa sawa.

“Bado sijajua nitachezea timu gani msimu ujao kwani kwa sasa bado mambo yangu na timu ya Afrika Kusini hayajakaa sawa,ila muda ukitimia kila kitu kitakuwa sawa,” amesema. Dida.

MZEE AKILIMALI AMCHANA AJIBU, AMUITA KIRUSI KAGERA SUGAR: MSIMU UJAO TUTATISHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply