Home Uncategorized WALTER BWALYA AIPA TANO SIMBA KWA KAHATA

WALTER BWALYA AIPA TANO SIMBA KWA KAHATA


BAADA ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba, kiungo Francis Kahata ambaye ametoka timu ya Gormahia mshambuliaji wa Nkana FC, Walter Bwalya amesema kuwa anamtambua vema Kahata amekuja kufanya kazi mashabiki watampenda.

Kahata ambaye ni nyota ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya kwa sasa ni mali ya Simba.

“Namtambua Kahata ni mtu wa namna gani hivyo ametua sehemu sahihi na tafanya kazi kubwa ndani ya Simba,” amesema.

SOMA NA HII  NYOTA HAWA WAZAWA WATANO MUDA WOWTE MAMBO FRESH YANGA, RIPOTI INAELEZA