Uncategorized

BIASHARA UNITED KUANZA NA UONGOZI

admin July 7, 2019 7:02 am

UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kwa sasa unajipanga kufanya uchaguzi ili kupata viongzoi wapya ndani ya timu hiyo.

Katibu wa Biashara United, Haji Mtete amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuona wanafanikisha lengo la kupata viongozi wapya watakaoongoza timu hiyo kwa muda wa miaka minne.

“Uchaguzi unatarajiwa kufanyika mwezi Agosti 7 mwaka huu kwa lengo la kupata viongozi wapya, nafasi ambazo zitafanyiwa uchaguzi ni pamoja na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na nafasi ya wajumbe wanne,” amesema.

USAJILI: MRITHI WA GADIEL MICHAEL YANGA MARCELO ASAINI MIAKA MITATU RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply