Uncategorized USAJILI: MRITHI WA GADIEL MICHAEL YANGA MARCELO ASAINI MIAKA MITATU admin July 7, 2019 4:22 am Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Malindi fc ya Zanzibar.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.