Uncategorized

KINDA WA FULHAM AVIBWAGA VIGOGO MADRID, PSG AITAKA LIVERPOOL

admin July 8, 2019 10:42 am


Liverpool wako katika hatua za mwisho kumnasa kinda Harvey Elliot kutoka Fulham.

Kinda huyo wa miaka 16 amekuwa kivutio kwa baadhi ya timu.

Baadhi ya timu zilizoonyesha nia ya kumnasa ni pamoja na vigogo Kama Real Madrid, Paris Saint-Germain na RB Leipzig. 

Haha hivyo, imeelezwa, Elliott yeye hakutaka kwenda katika klabu hizo badala yake kujiunga na Liverpool akiwa na ham kubwa kufanya kazi chini ya Jurgen Klopp.
TANZIA: SABA WAFARIKI WAKIENDA CHATO, WATANO NI KUTOKA AZAM MEDIA MAJEMBE MAPYA YANGA YAFICHWA HOTELI YA KISHUA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply