Uncategorized

YANGA KUJICHIMBIA MOROGORO MAANDALIZI YA LIGI

admin July 8, 2019 12:22 pm

MABINGWA wa kihistoria wa Tanzania Bara, Yanga leo wametimkia Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi.


Msimu wa mwaka 2019-20 unatarajiwa kuanza Agosti 23 na mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba na JKT Tanzania uwanja wa Taifa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kaimu Katibu wa Yanga, Dismas Ten amesema kuwa wamechagua Morogoro kutokana na utulivu.

“Timu leo imeelekea Mrogoro kwa ajili ya kambi na itakuwa huko mpaka msimu utakapoanza, tumejipanga kufanya vema msimu ujao ndio maana tunakwenda kuweka kambi sehemu tulivu,” amesema.
JPM AWALILIA WAFANYAKAZI 5 WA AZAM TV WALIOFARIKI WAKIELEKEA CHATO JOSE MOURINHO MBABE KINOMA AGOMEA OFA YA KWENDA CHINA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply