Aliyekuwa kipa namba mbili wa kikosi cha Simba, Deogratius Munishi ;DIDA’, amefunguka kutokuwepo katika kikosi cha Simba huku Kocha Patrick Aussems akiwa bado anamuhitaji katika kikosi hicho.
Munishi amesema kuwa hana tofauti kati yake na kia Aishi Manula kiwango kilekile.







