JOSEPH Omog, anatajwa kuwa Kocha Mkuu wa muda wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayotarajiwa kushiriki michuano ya CHAN.
Omog ambaye aliwahi kuvinoa vikosi vya Azam na Simba kwa nyakati tofauti anatajwa kurithi kwa muda mikoba ya Emmanuel Ammunike.
Ammunike amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, kutokana na kuwa na mwenendo mbovu na timu ya Taifa ambayo imeishia hatua ya makundi kwenye michuano ya Afcon inayoendelelea nchini Misri.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.