Uncategorized

MSHAMBULIAJI SIMBA AMALIZANA NA TP MAZEMBE

admin July 11, 2019 9:02 pm


Mshambuliaji wa zamani wa Simba na baadaye Aza FC, Ramadhan Singano, amejiunga na TP Mazembe ya Congo.

Singano ambaye aliwahi kung’ara zaidi wakati akiwa Simba na baadaye kutimkia Azam FC, amefikia makubaliano na miamba hao wa Afrika kwa kuingia nao mkataba.


Singano amemwaga wino Mazembe akiwa na bosi wa klabu hiyo, Moise Katumbi na sasa atakuwa na kikosi hicho msimu ujao wa ligi.

Mchezaji huyo ambaye alibatizwa jina la Messi wakati akiichezea Simba alishindwana na Azam juu ya mkataba mpya baada ya msimu huu kumalizika.

NOMA!! HUU NDIYO UBALAA WA MIPANGO YA YANGA MSIMU UJAO – VIDEO VIDEO: SIMBA WAMEJITAFUTIA MATATIZO KWA GADIEL MICHAEL

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply