Uncategorized
DU SANCHEZ NOMA ANAKUNJA MKWANJA MREFU BALAA, UWANJANI NAKO BALAA
ALEXIS Sanchez staa wa Chile anayekipiga Manchester United anashika namba moja kwa kulipwa mkwanja mrefu ndani ya Ligi Kuu England.
Mshahara wake kwa mwezi anaolipwa na mabosi zake United ni pauni milioni mbili sawa na sh. bilioni 5.7.
Licha ya kukunja mkwanja huo mrefu uwanjani amepachika mabao matano tu na amecheza mara 45 tangu alipojiunga na kikosi hicho akitokea Arsenal.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.