Uncategorized

NEYMAR JR MKOROFI, KICHAPO CHA MABAO 6-1 WALICHOKIPATA PSG ADAI HAJAKISAHAU

admin July 15, 2019 1:20 pm

NEYMAR Jr mwenye miaka 27 bado ameendelea kushinikiza ndani ya klabu yake ya PSG apewe ruhusa ya kusepa mazima.


PSG bado hawajakubali kumuachia nyota huyo ndani ya kikosi hicho kutokana na uhitaji waloonao ilihali mwenyewe hana furaha ya kubaki ndani ya kikosi chicho.

Neymar amesisitiza kuwa kumbukumbu yake njema kwenye soka ni kitendo cha Barcelona kuinyoosha PSG mabao 6-1 kwenye Ligi ya Mabinwgwa mwaka 2017.
BARAKA THE PRINCE ATAJA SABABU ZA KUFUTA PICHA ZA MPENZI WAKE – VIDEO UNITED YAPATA KIGUGUMIZI KUZUNGUMZIA ISHU YA LUKAKU, YAIKOMOA MILAN

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply