Uncategorized

SIMBA: KWA USAJILI HUU NI MWENDO WA MAKOMBE TU

admin July 20, 2019 10:11 am


NYOTA mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kwa namna kikosi kilivyo na kambi ya Afrika Kusini ilivyonoga lazima watetee kombe lao na kuleta ushindani kimataifa.

Simba imeweka kambi nchini Afrika Kusini ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao imesajili nyota kadhaa wakali ikiwa ni pamoja na Gadiel Michael na Beno Kakolanya ambao walikuwa na Ajibu Yanga.

“Uhakika upo wa kutosha kwamba msimu ujao tutafanya makubwa na mengi, tunachohitaji ni kuona timu inabeba makombe mengi na kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa,” amesema.

Ajibu kwa msimu wa 2018-19 ni mchezaji aliyefanya vizuri kwenye ligi, ametoa assist 17 na alipachika mabao 6.

KCCA WAAMBIWA NA AZAM FC DAWA YAO ISHAPATIKANA KESHO WANAKALISHWA HICHI NDICHO KILICHOMPA SHAVU BILAL ALLIANCE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply